Machapisho

Moto wawaka, wanachuo wakiwa ibadani

Picha
Ibada ya kusifu na kuabudu USCF.   USCF, ni moja ya kanisa linalopatikana katika chuo kikuu cha dodoma katika ndaki ya hinsia na sayansi ya jamiii kwa kiingereza ikijulikana kama humanity and social science. Pia inajumuisha baadhi ya wanafunzi wanaotoka katika shule zingine kama COBE na SOlo. Hii ni moja kati ya ibada ambayo ilifanyika katika kanisa hilo ikifahamika kama "nusu mkesha" kwa ajili ya kumshukiru MUNGU wakati wakiwa wanajiandaa kuelekea kumaliza masomo ya muhura wa kwanza mwaka 2023. Ibada hiyo ilianza majira ya saa mbili na nusu usiku na kutamatika saa saba usiku. Pia ilikuw na wangeni waarikwa mbalimbali ambao walihudumu katika ibada hiyo mpaka mwisho. "Mbali na masomo na mambo mengine ya kitaaluma lakini lazima tumwabudu MUNGU na kumsifu katika viwango vikubwa" ayo ni maneno ya mwimbaji anayejulikana kama JACKLIN, aliyehudumu katika uimbaji kama mgeni mwalikwa kwenye ibada hiyo. MUNGU wetu ni mwaminifu sana sana na zaidi hawezi kukuacha katika kitu ch...

UDOM panukia hatari

Chuo kikuu cha dodoma kinachofahamika kama UDOM, kipo kwenye maandalizi mazito ya kuelekea kwenye mitihani ya kumaliza muhura wake wa pili unaojulikana kama second semester (ii). kupitia mitihani yake ya mwisho wa muhura yaani university examination (UE). Kupitia vyanzo mbalimbali imefahamika kuwa mitihani hiyo itaanza kutimua vumbi rasmi kuanzia tarehe 28/6/2023 na inatazamiwa mitihani hiyo kuisha tarehe 14/7/2023. Kwa ujumla mitihani hiyo itafanyika takribani wiki 3. Huku Wanafunzi mbalimbali wakizidi kutoa maoni yao kuhusiana na ratiba hii ya mitihani iliyoko mbele yao. " Tumejiandaa vizur na tunapokea katika hicho la tatu mitihani hii pamoja na ratiba yake ambayo mpaka sasa tumepewa second draft, na tupo tayari kushiriki na kuifanya katika mazingira na kiwango bora zaidi, kikubwa ni kuwa vijana wenzangu tumwombe MUNGU pia tusome kwa bidii zaidi hasa kwa sisi ambao ndio mwaka wetu wa mwisho". Hayo ni maneno ya mwanafunzi anayejulikana kwa jina la BUSHIRI. UDOM, ina jumla y...