Moto wawaka, wanachuo wakiwa ibadani
Ibada ya kusifu na kuabudu USCF. USCF, ni moja ya kanisa linalopatikana katika chuo kikuu cha dodoma katika ndaki ya hinsia na sayansi ya jamiii kwa kiingereza ikijulikana kama humanity and social science. Pia inajumuisha baadhi ya wanafunzi wanaotoka katika shule zingine kama COBE na SOlo. Hii ni moja kati ya ibada ambayo ilifanyika katika kanisa hilo ikifahamika kama "nusu mkesha" kwa ajili ya kumshukiru MUNGU wakati wakiwa wanajiandaa kuelekea kumaliza masomo ya muhura wa kwanza mwaka 2023. Ibada hiyo ilianza majira ya saa mbili na nusu usiku na kutamatika saa saba usiku. Pia ilikuw na wangeni waarikwa mbalimbali ambao walihudumu katika ibada hiyo mpaka mwisho. "Mbali na masomo na mambo mengine ya kitaaluma lakini lazima tumwabudu MUNGU na kumsifu katika viwango vikubwa" ayo ni maneno ya mwimbaji anayejulikana kama JACKLIN, aliyehudumu katika uimbaji kama mgeni mwalikwa kwenye ibada hiyo. MUNGU wetu ni mwaminifu sana sana na zaidi hawezi kukuacha katika kitu ch...